mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,792
🤣🤣🤣🤣.Quran hakika sio muongozo wa Mungu wa kweli
Ila biblia ambayo IMESHUSHWA kiujanja ujanja ndo muongozo wa Mungu wa kweli?
Ebu niambie basi kwanini agano la kale liliandikwa Kwa lugha ya kiyahudi na agano jipya liliandikwa Kwa lugha ya kigiriki?