Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"

Kwa hiyo shetani ni ustadhi?
 
Shetani ni kiumbe cha kiroho na kiumbe cha kiroho huwezi kukisilimisha maana hakina mwili wa nyama
 
Alaf kabla ya hayo yote.
Hapa Shetan anaishusha Quran kwa makobaz na majini.

Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri."
MAANA YAKE SAHIHI NA ILIYOBAYANA ZAIDI NI HII: “Sema:Anayemfanyia uadui Jibrail(anajisumbua),hakika yeye(Jibrail) ameiteremsha (Qur’an) moyoni mwako,kwa idhni ya Mwenyeezi Mungu,inayosadikisha yale yaliyokuwa kabla yake,na ni uongofu na bishara ya waumini”.
Aya hii Tukufu imeshuka ikiwa ni jibu kwa kauli iliyosemwa na MAYAHUDI na kwamba wametubu na kujiepusha au kujizuia na suala la kuyaamini yale yaliyoteremshwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w).Na wakatoa sababu inayowafanya wasiamini yanayoteremshwa kwa Mtume (s.a.w.w) kuwa ni kwa kuwa wao ni Maadui wa Malaika Jibrail (a.s) anayeteremka na Wahyi(UFUNUO) kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w).Hivyo katika Aya hiyo ya 97 na Aya ya 98 inayofuatia ndani ya Suratul-Baqarah Mwenyeezi Mungu (s.w) akawajibu MAYAHUDI hao kuwa wanajisumbua bure maana Jibrail (a.s) ameiteremsha Qur’an katika Moyo wa Mtume (s.a.w.w) kwa Idhni ya Mwenyeezi Mungu (s.w).Hivyo akawatanabahisha ya kwamba ikiwa mnasema hamuiamini Qur’an Tukufu na yaliyoteremshwa kwa Muhammad (s.a.w.w) kutokana na uadui wenu mlionao kwa Jibrail (a.s),basi tambueni ya kuwa Jibrail (a.s) hajateremsha Qur’an Tukufu yeye kama yeye bali ameiteremsha katika moyo wa Muhammad (s.a.w.w) kwa idhni yake Mwenyeezi Mungu (s.w).Hivyo uadui wao walio nao kwa Jibrail (a.s) hautakiwi kuwazuia kuyaamini maneno ya Mwenyeezi Mungu (s.w) yaliyoteremka kwa Idhni yake (s.w).
 
Huyo Jibril Muhamad mwenyewe hakuwa akimfahamu aliambiwa tu na mkewe na mjomba wake mganga. Kuwa ndiye aliyemkaba nusra kumuua
 
Haujaeleweka.

Quran haijasema kuwa wayahudi ni maadui wa Jibril, malaika wala maadui wa allah.

Pia
Quran 2 :62
"Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

Msisitizo weka hapo "mwenyezi Mungu"
Hawajaandika allah wenu.

Adui wa jibril ni Shetan na ndio aliyeshusha Quran kwa idhin ya allah.

(According na Quran)
 
Hapa majini yalisikia Quran na Kuiamini

Quran 72:1-2
"Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!"
Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi"

👇👇Na hapa wanakaamua kuwa waislam.

Quran 72 : 12- 14
"Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.

Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini.
Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa

Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."

Kwahiyo Majini pia ni waislam
Sio majini wote ni waislamu
Na shetani sio muislamu labda ulete maandiko ya kuthibitisha
 
Kwenye kitabu cha Siri ya Majini sehemu hiyo ya kusimulia kuwa “Adam na Hawa hawakuweza kumsilimisha shetani ila Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza” ipo katika ukurasa wa 20.
Hicho kitabu kaandika nani na yeye ni nani katika Uislamu
 
Hadithi ya Qarin (shetani wa kila mtu)

Hadithi iliyopokewa na Abu Huraira (r.a.):

(Sahih Muslim, Kitab al-Qarin / Kitabu cha Qarin, Hadithi 2814 – tafsiri ya Ibn Hajar na wanazuoni)
Mada yako najua inakusudia kusilimu kwa Ibilis lakini hoja ndo hauna kabisa maana katika hiyo hadithi Ibilis hajatajwa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom