comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,353
- 16,962
Huyo ni kiumbe kama wewe nani kamuumba ibilisi?Ndo huyo huyo Shetani Ibilisi Joka la Kale.
Ninacho hiki kitabu
Ibilisi yupo kwenye KUNDI LA MAJINI.Unachanganyana unarudisha nyuma hoja.
Ibilisi ni jini au shetani?.
Mbona hili limesemwa sana na vitabu vyenu, Tena Hadi vinasema shetan anakaa kwenye pua zenu, pia anawajambiaTupe maandiko yanayothibitisha hilo
Mashetani wema😂😂Ibilisi yupo kwenye KUNDI LA MAJINI.
alipoasi akageuka kuwa shetani.
Kwa hyo katika MAJINI KUNA MAKUNDI YA MASHETANI MAWILI.mashetani wema na MASHETANI wabaya.
Kitabu hiki hapa👇Kwenye kitabu cha Siri ya Majini sehemu hiyo ya kusimulia kuwa “Adam na Hawa hawakuweza kumsilimisha shetani ila Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza” ipo katika ukurasa wa 20.
Ibilisi yupo kwenye KUNDI LA MAJINI.
alipoasi akageuka kuwa shetani.
Kwa hyo katika MAJINI KUNA MAKUNDI YA MASHETANI MAWILI.mashetani wema na MASHETANI wabaya.
Hapana si kama mimi. Labda ni kama wewe. Mi nlishakataa udugu na shetani na majini. Hatuna udugu na hatutakuwa naoHuyo ni kiumbe kama wewe nani kamuumba ibilisi?
Kwahiyo kwa sasa ni mwisilam?alikuwa miongoni mwa majini.
Baadae akaasi .alipoambiwa amsujudie Adam akakataa akasema yeye kaumbwa na moto na Adam kaumbwa na udongo.ndipo Mungu akamlaani ibilisi na kuwa jini muovu.
Kabla ya kuasi inasemekana ibilisi alikuwa jini mwema na alikuwa anafanya ibada kama malaika
ALITAKIWA ATOE SAJDA YA HESHIMA KWA ADAM.ila Kwa kuwa ana KIBURI alikataa wa kuabudiwa ni Allah pekee.Kwahiyo kwa sasa ni mwisilam?
Lakin pia umenichanganya kwahiyo kwenye uislam anaabudiwa Allah au ana abudiwa Adam? Mbona waislam mnaabudu vitu vingi sana aisee
Shida si kuwa na undugu nae Bali Mola wetu ni mmoja.Hapana si kama mimi. Labda ni kama wewe. Mi nlishakataa udugu na shetani na majini. Hatuna udugu na hatutakuwa nao
Sio Adam tenaALITAKIWA ATOE SAJDA YA HESHIMA KWA ADAM.ila Kwa kuwa ana KIBURI alikataa wa kuabudiwa ni Allah pekee.
Bila shakaMashetani wema😂😂
Shida si kuwa na undugu nae Bali Mola wetu ni mmoja.
Adam alipewa sijda ile ya heshima tu.Sio Adam tena
Nikushauli kama ndugu?
YESU KRISTO anakupenda
Mda unao wa kufanya maamuzi
Quran hakika sio muongozo wa Mungu wa kweliBila shaka
Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
72.Surat Al-Jinn
Imeshuka MakkaIna aya 28
UtanguliziOrodha ya SuraFaharasa
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! 1
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2
3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana. 3
4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu. 4
5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwon
go Mwenyezi Mungu. 5
Hakuna jini ambaye mola wake ni shetani . sisi wote ni viumbe vya AllahWenu. Huyo ni sawa maana majini mola wao ni Shetani/Ibilisi. Ndo baba yao. Ni Mola wenu.
Mimi wangu ni tofauti nao kabisa