tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,440
hujaelewa mtoa post anamaanisha nini? Serikali kupitia TRA iliutangazia umma kwamba Sahara Media wanadaiwa shs 4.5b malimbikizo ya kodi hivyo wanafungiwa hadi walipe. Kwa mwenye akili timamu anayejitambua lazima ahoji/ajihoji mbona walewale hawajatangaza kwamba deni limelipwa lote au kiasi gani au kuna makubaliano gani. Hivi wewe hutaki kujua hili? Kujiamini kulekule walipotangaza kufungia, pia watangaze kuifungulia na sababu waitajeKuna watu mmeumia sana sahara kurejea hewani mtakufa na vijiba vya roho mbaya watu tulikuwa tumekoswa radio ya kusikiliza vipindi moto moto
tv, Radio free Africa na KISS FM RADIO) Usiku huu vimerudi angani mubashahara!!