Mubashara: Sahara media warudi hewani

Mubashara: Sahara media warudi hewani

Baada ya kupotea hewani kwa siku kadhaa naona Startv wamerudi hewani.

Je wameweza kulipa deni walilokua wanadaiwa na TRA au wamenegotiate na kufikia muafaka?

All in all heko kwa Diallo kwa kupambana na kufanikiwa kurudisha chombo chake cha habari maana kuna watu walidhani itapigwa mnada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli jana nimeona taarifa ya habari kwa mara ya kwanza huenda wamelipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Lipumba au na Ndugai chini ya maelekezo ya Sizonje? Hivi wewe unadhani Kupora kitu kwa kutumia nguvu ya dola ni sifa?
Kama Lowassa Na Sumaye walivyokuwa wakipora Mali ya umma kupitia vyeo vyao
 
Wadau kupitia JF poleni na majukumu yenu ya kila siku, pia hongera kwa wale ambao karibu muda wote wapo hapa na kule kutujuza kinachoendelea popote pale duniani na kutujuza kupitia Mtandao mpana wa JF.

Takribani wiki mbili zimepita kupitia hapahapa JF mlitujuza RFA na Star Tv kusimamisha matangazo kutokana na deni wanalodaiwa na Mamlaka ya Mapato pia kiwango kilitajwa, swali langu mbona mpo kimya kutujulisha kwamba RFA na Star Tv wamerudi hewani?

Sasa nauliza kama kuna mwenye taarifa yoyote kama wamekubaliana kuhusu kulipa kodi basi tujulisheni ilinasisi tusiogope na kufunga biashara zetu wenyewe.
 
Back
Top Bottom