Mubashara: Sahara media warudi hewani

Mubashara: Sahara media warudi hewani

katika pita pita zangu kusearch radio nkaskia kama radio free baada ya kuskiliza kwa makin nkaon n kwel

sasa sijui wamelipa hilo den ama wamesamehewa ili waanze upya ama wamepunguza den hlo

mwenye details kuhusu hili suala atupee tafadhal

ila n funzo kwa medioa zngine kama wanadaiwa nadhan watakuwa wameshakimbia kwenda kulipa maden yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unweza kufungua duka ukagawa vitu bure TRA hawawezi kufungia au mgahawa watu wanakula bure.nawao matangazo ya biashara hamna ,TRA awawafwati sababu hawafanyi biashara.ni mtazamo wangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii radio ilitusaidia sana kwenye kampeni na tena ni ya kanda yetu na mmiliki wake ni kada wetu hivyo tumemsamehe. Kwa sasa tunashughulika na makada wa upinzani na watu wa kaskazini pamoja na wahindi hao Kama wanadaiwa lazima walipe.
 
Back
Top Bottom