Mubashara: Sahara media warudi hewani

Mubashara: Sahara media warudi hewani

Bado ijafahamika mkuu Baada ya kufungiwa na TCRA kwa ukwepaji wa kodi sasa vyombo vya utanfangazaji vya Sahara media ([emoji93] tv, Radio free Africa na KISS FM RADIO) Usiku huu vimerudi angani mubashahara!!


Ni Imani yangu watakuwa wameweka Sawa mambo!!



Sent using Jamii Forums mobile app
Je wamelipa kodi kabla ya kuweka mambo sawa
 
Mimi nilimiss magazeti rfa sa 12:30. Redio zingine hawasomi vizuri. Nikikosa hiki kipindi huwa nawahi clouds 360 nao huwa wanachambua vizuri. Hongereni! Mhakikishe mitambo inakaa sawa usiku huu ili asubuhi tupate habari za magazetini tokea Dar. Maana kabla hamjafungiwa redio yenu ilikuwa inakoroma balaa hasa huku mikoa ya mipakani
 
Back
Top Bottom