Mubashara: Sahara media warudi hewani

Mubashara: Sahara media warudi hewani

Naskia TRA ili wa ambia walipe 2B kati 4.5B wanazo daiwa ili waendelee.

Pia naskia wamepata 5B kutoka nje. Kuna shirika linakuja kuwa mbia wa Sahara Media, hivyo tutarajie either ku uzwa au joint ownership ya SAHARA MEDIA. Walichelewa kufunguliwa kutokana na Clearence ya BOT ya hizo 5B...

JMP KAMATA WEZI
 
Baada ya kupotea hewani kwa siku kadhaa naona Startv wamerudi hewani.

Je wameweza kulipa deni walilokua wanadaiwa na TRA au wamenegotiate na kufikia muafaka?

All in all heko kwa Diallo kwa kupambana na kufanikiwa kurudisha chombo chake cha habari maana kuna watu walidhani itapigwa mnada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona namba mmeshaisoma sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hana hamu na CCM tena.
While ni mwenyekiti wa CCM
IMG_2tq9q1.jpg


May Allah bless Me and You
 
Baada ya kufungiwa na TCRA takribani wiki mbili zilizopita kwa ukwepaji wa kodi sasa vyombo vya utanfangazaji vya Sahara media ( tv, Radio free Africa na KISS FM RADIO) Usiku huu vimerudi angani mubashahara!!


Ni Imani yangu watakuwa wameweka Sawa mambo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA hawajawah kuwafungia SAHARA MEDIA

May Allah bless Me and You
 
Bado ijafahamika mkuu Baada ya kufungiwa na TCRA kwa ukwepaji wa kodi sasa vyombo vya utanfangazaji vya Sahara media ( tv, Radio free Africa na KISS FM RADIO) Usiku huu vimerudi angani mubashahara!!


Ni Imani yangu watakuwa wameweka Sawa mambo!!



Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA hawajawah kuwafungia SAHARA MEDIA

May Allah bless Me and You
 
katika pita pita zangu kusearch radio nkaskia kama radio free baada ya kuskiliza kwa makin nkaon n kwel

sasa sijui wamelipa hilo den ama wamesamehewa ili waanze upya ama wamepunguza den hlo

mwenye details kuhusu hili suala atupee tafadhal

ila n funzo kwa medioa zngine kama wanadaiwa nadhan watakuwa wameshakimbia kwenda kulipa maden yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaona au UKASKIA?

May Allah bless Me and You
 
Hii ilikua Radio yangu pendwa jana jioni niliwasikia mubashara! ila ndo Boss wa hii radio akome kiranga sisiemu si watu wa muchezo!
 
Mimi nilimiss magazeti rfa sa 12:30. Redio zingine hawasomi vizuri. Nikikosa hiki kipindi huwa nawahi clouds 360 nao huwa wanachambua vizuri. Hongereni! Mhakikishe mitambo inakaa sawa usiku huu ili asubuhi tupate habari za magazetini tokea Dar. Maana kabla hamjafungiwa redio yenu ilikuwa inakoroma balaa hasa huku mikoa ya mipakani

Sawa mkuu tutajitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nilikuwa nainjoy sana kusikiliza bbc english service full time saivi nimetune in nakutana na wasawahili wanafanya yao
 
Back
Top Bottom