Mubashara: Sahara media warudi hewani

Mubashara: Sahara media warudi hewani

Wakuu naona Sahara media baada kifungo cha takribani wiki mbili kwa Malimbikizo ya Kodi hatimaye wamarudi hewani. Sasa cjui ndo ni maelekezo toka juu au ni kweli wamalipa...star TV, radio free Africa na Kiss FM wapo hewani sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wamelipa kodi au ? Ndo huruma za mwenyekiti .
 
Wako hewani toka jana. Hatuna uhakika kama wamelipa au uccm umetumika kuwarudisha kisha walipe baadae.
 
Maelekezo toka juu!Kodi ingekuwa imelipwa wangekuja kwa mbwembwe vijana wa lumumba kusema humu
 
Kukwepa kodi ni halali kama unavaa shati la kijani na kujifunika shuka la njano. Pia uwe wa kukaya.
 
Magu anacheza na akili za watanzania. Hapo alikuwa anachukulia point kwamba tumuone ana washughulikia na masisiem wenzake kumbe bosheni tu.

Magu ni dikteta, mkabila na mkanda.. T. Lisu.
 
Wakuu naona Sahara media baada kifungo cha takribani wiki mbili kwa Malimbikizo ya Kodi hatimaye wamarudi hewani. Sasa cjui ndo ni maelekezo toka juu au ni kweli wamalipa...star TV, radio free Africa na Kiss FM wapo hewani sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama wamelipa tena walau million mia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiafrika hatuoni tabu lakini kwa watu welewa wazuri hiyo Sahara ingetakiwa iombe radhi Sana kwa kufanya dhulma na wizi. Yawezekana wangelipa kodi vizuri wangeokoa vifo vya kinamama na watoto wengi kwa kukosa huduma za afya.
wamedhalilika na kupoteza imani kwa kujipambanua kuwa wahujumu nchi...mabashite wakubwa
 
Back
Top Bottom