Hata Mange Kimambi kasurrender.Naona na Channel ten wamesurrender kwa Bashite.. Wanazimwaga habari zake sio mchezo.
Sijakuelewa, umeandika nini?Wewe unatakaje? Si mlikuwa mnasema humu kuwa akeshwe? Kurudi hewani mmeumia sana eh?
Msichanganye mambo! Star na RFA wanadaiwa kodi kama vile wanavyo daiwa ACCACIA sasa TRA waliweka madalali wakamate Mali ili deni lilipwe. Jee deni limelipwa au ndio siasa mpaka TRA?Naona na Channel ten wamesurrender kwa Bashite.. Wanazimwaga habari zake sio mchezo.
Mkuu hawa jamaa wamechanganyikiwa. Tangu LOWASA alete MABADILIKO kwenye chama hawajui hata washangilie nini wapinge nini. Wao vyote ni kupinga tu!Wewe unatakaje? Si mlikuwa mnasema humu kuwa akeshwe? Kurudi hewani mmeumia sana eh?
Msichanganye mambo! Star na RFA wanadaiwa kodi kama vile wanavyo daiwa ACCACIA sasa TRA waliweka madalali wakamate Mali ili deni lilipwe. Jee deni limelipwa au ndio siasa mpaka TRA?
Kama hawajalipwa na Sahara, jee si ni lazima TRA imlipe Dalali 10% ya deni halisi na hayo sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Unajuwa maana ya "kujitambua"? Basi hicho ndo ambacho wakikosa? Walonacho huweza kujenga hoja.Hata Mange Kimambi kasurrender.
Huyo ndo Ngosha!
Payuka , piga mbwembwe zako, Ruka na tiktaka zako,
Lakini mwisho
Utamtaka tu!
Kwa hali ya kawaida tu kama unaishughulisha akili yako kituo kilikuwa kimefungwa na TRA sababu ya kodi sasa hivi ipo hewani what does your common sense tells you? May be you should consult TRA public relations office.Naona wale jamaa wako hewani jee fedha zinazodaiwa na TRA Zimeshalipwa? Mbona TRA wako kimya na shughuli ndio hiyo imeanza? Au ulikuwa mkakati was aina Fulani?
Hahahahaha aliechanhanyikiwa ni huyo anaeogopa kivuli,anaogopa hata MTU kwenda kuwashukuru wapiga kura tu,anaogopa na kusema hamna ruksa kufanya siasa,amefikia anazunguka mwenyewe nchi yote lkn bado anasema Mimi nampongeza mpinzani mwenye kufanya mambo ya ccm,sasa kwa akili yako wewe mpinzani anaweza Fanya mambo ya ccm,a support mikataba ya kuuza rasilimali zetu,apite makofi kwa kila jambo la kipuuzi huyo ni mpinzani au ccm B,huyo ndio alie changanyikiwa.Mkuu hawa jamaa wamechanganyikiwa. Tangu LOWASA alete MABADILIKO kwenye chama hawajui hata washangilie nini wapinge nini. Wao vyote ni kupinga tu!
Akifungiwa wanakuwa upande wa mfungiwa, akifunguliwa wanahama na kuanza kulalamika imekuwaje kafunguliwa?
Msichanganye mambo! Star na RFA wanadaiwa kodi kama vile wanavyo daiwa ACCACIA sasa TRA waliweka madalali wakamate Mali ili deni lilipwe. Jee deni limelipwa au ndio siasa mpaka TRA?
Kama hawajalipwa na Sahara, jee si ni lazima TRA imlipe Dalali 10% ya deni halisi na hayo sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Umemaliza?Kwa hali ya kawaida tu kama unaishughulisha akili yako kituo kilikuwa kimefungwa na TRA sababu ya kodi sasa hivi ipo hewani what does your common sense tells you? May be you should consult TRA public relations office.
Acha Makonda achape kazi yuko vzr!!!!Naona na Channel ten wamesurrender kwa Bashite.. Wanazimwaga habari zake sio mchezo.
Watu hamkosi cha kunanga duh..!Mkakati wa kuwaziba midomo media zingine ili kuwasafisha Sahara wahamie kwa wapinzani wao wengine!! Hawezi kuzima Sahara Media ndio iliomuweka hapo kwa ukabila na ukanda!! Sikia tu hawezi hawezi hawezi.....deni litazugwa na litafanywa ifanywavyo........ila ingekuwa radio ya kand fulani saa hizi.......hata tandabui wamejenga!!!! Yangu macho tunakoelekea!!!
Utamtaka wewe na njaa zako kama hizo media, huyo mange Kimambi aliye surrender ni wa chato au wapi....au hiyo page unaona peke ako yako tu....Hata Mange Kimambi kasurrender.
Huyo ndo Ngosha!
Payuka , piga mbwembwe zako, Ruka na tiktaka zako,
Lakini mwisho
Utamtaka tu!
kwani si TRA ndio waliowafungia?
kumbe unalitambua hilo? wale wanaokandamizwa kila uchwao na kuharibiwa biashara zao sio watanzania? Dhambi ya ubaguzi haitawaacha salama CCMWatz tuna roho mbaya sana,kuna baadhi yetu tunafulahi mtu anapo ludishwa nyuma kimaendeleo,
Sent using Jamii Forums mobile app