Mubashara: Sahara media warudi hewani

Mubashara: Sahara media warudi hewani

katika pita pita zangu kusearch radio nkaskia kama radio free baada ya kuskiliza kwa makin nkaon n kwel

sasa sijui wamelipa hilo den ama wamesamehewa ili waanze upya ama wamepunguza den hlo

mwenye details kuhusu hili suala atupee tafadhal

ila n funzo kwa medioa zngine kama wanadaiwa nadhan watakuwa wameshakimbia kwenda kulipa maden yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Ni matangazo ya kawaida ni sawa maana walivyofungiwa ilisika bbc english tu na swahili ktk vpnd vyao vya asbh na jion
 
Lisu kuachiliwa kesho

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
TBC2,hawawezi kuuzwa,mmiliki alikuwa kwenye mgomo baridi tu ili kushinikiza malipo yake ya mkwanja wa kampeni,itauwa wameshayamaliza,maana kama Shigongo tu alilalama na magazeti yakeje Dualo?
TBC2?...
 
Naona wale jamaa wako hewani jee fedha zinazodaiwa na TRA Zimeshalipwa? Mbona TRA wako kimya na shughuli ndio hiyo imeanza? Au ulikuwa mkakati was aina Fulani?
 
Mkakati wa kuwaziba midomo media zingine ili kuwasafisha Sahara wahamie kwa wapinzani wao wengine!! Hawezi kuzima Sahara Media ndio iliomuweka hapo kwa ukabila na ukanda!! Sikia tu hawezi hawezi hawezi.....deni litazugwa na litafanywa ifanywavyo........ila ingekuwa radio ya kand fulani saa hizi.......hata tandabui wamejenga!!!! Yangu macho tunakoelekea!!!
 
Naona wale jamaa wako hewani jee fedha zinazodaiwa na TRA Zimeshalipwa? Mbona TRA wako kimya na shughuli ndio hiyo imeanza? Au ulikuwa mkakati was aina Fulani?
Wewe unatakaje? Si mlikuwa mnasema humu kuwa akeshwe? Kurudi hewani mmeumia sana eh?
 
Back
Top Bottom