unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,505
- 2,862
Kwa hali hii URUSI atakwama kwa muda mrefusana
Mkuu ulaya tumeshakwama maisha magumu sana.
Kwa hali hii URUSI atakwama kwa muda mrefusana
Kwaiyo kila kitu mlitaka afanye Magufuli!nyie mle kuku kwa mlija, Magufuli alifanya aliyoyaweza,nanyi fanyeni yaliomshinda,Sio kila kitu Magufuli wakati ameongoza miaka 5 tu.Magufuli hii nchi aliirudisha nyuma miaka 10, sio kwenye utawala bora wa sheria tu bali pia maendeleo
kweliUngejua nipo kwenye industry gani usingesema..!! sometime tunauliza maswali kwa faida ya wengine..!! Anyway, ASANTE
Lakini Magufuli alisema gas siyo ya kwetu, iliishachukuliwa!
Na mimi nawauliza CCM, kwa nini gas ilitolewa Mtwara ikaletwa Dar?
Je, nani anasimamia usafirishaji wa gas kutoka Mtwara mpaka Dar?
Kwani kuna ubaya gani?:...CCM itaendelea kuwatesa Watanzania miaka mingi mbele
Binafsi sijaelewa hoja yako, Kwamba kusafirisha gesi kwenda Ulaya ni hatua kimaendeleo ?, Najaribu kutizama mchango wa gesi asilia ikiwa itatumika katika uchumi wa ndani na ule utakao patikana kwa kuuza nje.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kueleke
Felipe Jacinto Nyusi, Presidente de Moçambique, proclamou em vídeo o início da primeira exportação de Gás Natural Liquefeito (GNL) produzido na Bacia do Rovuma, região norte de Moçambique, pelo Projecto Coral Sul FLNG. O Carregamento de GNL é o primeiro no âmbito do contrato de compra e venda de longo prazo com a BP, que cobre os volumes totais de GNL produzidos em Moçambique. Moçambique entra para o grupo de países exportadores de gás natural liquefeito, que além de representar uma fonte alternativa de fornecimento, contribui em larga medida para a segurança energética nos países de maior consumo. Nyusi apelou “aos moçambicanos a não tomar a exploração de gás como a única e maior solução para o projecto de desenvolver Moçambique" Source : Miramar TV
subiri facts hivyo hivyo. Wewe unajua kwanini wanavamiwa na wale wanaowaita magaidi. hivi unajua kwanini walishindwa kujenga LNG mpaka wakaamua kusafurish gesi kutumia FLNG kwa maana ya Floating Liquified Natural Gas?K
Lete facts kama wazungu wanawapiga msumbiji, acha blah blah na kupiga ramli
Hahahaa kwsnza nchekeWakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Ipo haja rais kubanwa na kuwajibishwa ktk katiba mpya inayokuja pale anapoamua kuacha miradi yenye manufaa
Ona sasa tumeachwa bila mradi wowote ukiokamilika mbali ya madaraja ya juu
Video Rais Felipe Nyusi akitangaza mzigo wa mwanzo wa gesi ya LNG
Na alisema kweli si yakwetu na mkataba wake sio wa nchi hiiLakini Magufuli alisema gas siyo ya kwetu, iliishachukuliwa!
Na mimi nawauliza CCM, kwa nini gas ilitolewa Mtwara ikaletwa Dar?
Je, nani anasimamia usafirishaji wa gas kutoka Mtwara mpaka Dar?
Labda walitaka ajitoe mhangaGas yote mmejimilikisha familia zenu na Wachina mlitaka Magufuli afanye nini!!?
Wewe ngese tu, mmeshindwa hata kutuhakikishia upatikanaji wa maji na umeme mtaweza wapi habari ya gesi?Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi
Mkubwa siyo hivyo angalia meli nyekundu ndio possessing plant,sio fixed plant.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622