mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,897
- 106,188
Magufuli was a conman.Dah...
Siamini kauli hii.
Hata zile Flyover na Viwanja vya ndege basi hata Reli vyote ni utapeli...?
issue sio kusafirisha, hata sisi tunasafirisha madini. issue ni je kama taifa la msumbij linafaidika na hiyo gesi? au wanafaidika wanasisa tu na wazungu. sisi watz ni hovyo sana baads ya kujiuliza maswali ya msingi wa hizo project tunaangalia tu matokeo. wewe unajua kweye hiyo project wazungu wamewapiga msumbiji kwa kiasi gani. mpaka sasa asilimia zaidi ya 60 ya umeme wetu ni wa gesi. ushajiuliza kwanini tunashindwa kuitumia hiyo gesi hata hapa ndani tu tupate umeme wa uhakika? badala yake tunaambiwa mabwa yamekauka.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Nami hawa walamba asali hapa ndo tunatofautiana. The late was about the country and its people ulinganishe na mikataba ya january. MburaaaKwa sasa kimekushinda nini?
Upatikanaji tu wa umeme umekushinda, kila siku tupo kwenye mgao usioisha, uongelee kusafirisha gas?
Kwa uwezo upi ulionao wewe Januuu--- ary?
Endeleeni kumlaumu asiyekuwepo, Mara paap, 2025, Sjui mtamsingizia Nani nyinyi wehu,!
Kwa hiyo tayari unajuwa Msumbiji watafaidika kwa kiasi gani?Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa dunia
Mi silazimiki kujua ufanyacho,we fanya tuUnachokisema ni kweli kwamba unaweza ukawa mfagizi..!! Lakini still hujui nipo kwenye industry gani na nafanya nini..!! Ntakuuliza ya kitaalamu zaidi..!! Endelea tu
Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
About the country kwenye nini? Kujenga uwanja wa ndege chato na kuuwa watu?Nami hawa walamba asali hapa ndo tunatofautiana. The late was about the country and its people ulinganishe na mikataba ya january. Mburaaa
Lete facts kama wazungu wanawapiga msumbiji, acha blah blah na kupiga ramliissue sio kusafirisha, hata sisi tunasafirisha madini. issue ni je kama taifa la msumbij linafaidika na hiyo gesi? au wanafaidika wanasisa tu na wazungu. sisi watz ni hovyo sana baads ya kujiuliza maswali ya msingi wa hizo project tunaangalia tu matokeo. wewe unajua kweye hiyo project wazungu wamewapiga msumbiji kwa kiasi gani. mpaka sasa asilimia zaidi ya 60 ya umeme wetu ni wa gesi. ushajiuliza kwanini tunashindwa kuitumia hiyo gesi hata hapa ndani tu tupate umeme wa uhakika? badala yake tunaambiwa mabwa yamekauka.
Miaka 40Magufuli hii nchi aliirudisha nyuma miaka 10, sio kwenye utawala bora wa sheria tu bali pia maendeleo
Mkataba unasainiwa mwezi ujao.
Haiwasadii kumtukana Magufuli Wananchi wanafahamu Kila kitu ila hawana Cha kufanya zaidi ya kumwombea Hayati Magufuli MUNGU amlaze mahali pema peponi AminaMagufuli hii nchi aliirudisha nyuma miaka 10, sio kwenye utawala bora wa sheria tu bali pia maendeleo
🤔🤔🤔 msumbiji wanasafirisha gas lakini nani anayejua kuwa msumbiji wameingia mkataba gani na uo mkataba unawanufaisha vipi.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Huzuni yako na masikitiko yako vinaonekana ni uongo kwa sababu umeanza na uongo - Tanzania kuna kabila la wahutu ambao ni wengi mno mkoa wa Katavi, ila uongo wako ni kwamba hakuna Muhutu ambaye alichukua madaraka mwaka 2015 nchi Tanzania.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622