MSIBA:Kokudo afiwa na mwanae . . . . . !!

MSIBA:Kokudo afiwa na mwanae . . . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Ni wakati mgumu sana,lakini ni lazima tukubaliane na matokeo tu
'
Mwana JF mwenzetu tena mkongwe kokudo amefiwa na mwanae wa kiume jana na mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao kokudo Ibadakuli
'
Ndugu yangu na rafiki yangu mpendwa sana kokudo amenipigia simu muda huu na kunijulisha kuwa mwanae wa miezi mitatu amèariki kwa tatizo la kifua
'
Kwa yoyote atakaehitaji kumpa pole mwenzetu huyu kwa simu unaweza kumpata 0713 131 366(ametoa ruksa niweke namba yake)
'
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake libarikiwe
'
Dena Amsi popote ulipo pokea taarifa hii!
 
Last edited by a moderator:
Commiserations are in order.

Na hiyo ni Ibadakuli ile ile ya SHY pande za uwanja wa ndege?
 
pole sana kokudo na familia yako
Mungu ailaze Roho ya mtoto mahali pema Peponi, Amina......
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Nyani Ngabu hujakosea
'
Ni hiyo hiyo ya SHY!
 
Last edited by a moderator:
pole sana kokudo na familia yako
Mungu ailaze Roho ya mtoto mahali pema Peponi, Amina......

. . . . . . . . . Amen!! . . . . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu kokudo.
Allah akupe moyo wa Uvumilivu katika kipindi hiki cha maombolezo.
Pole sana.
Amiin.
 
Last edited by a moderator:
FP asante sana
'
Hizi ni moja kati ya changamoto za maisha!
 
Last edited by a moderator:
Jamani pole sana Mungu akutie nguvu nakosa hata maneno mazuri ya kukufariji ni Mungu pekee awezae kukupa faraja. Nakupa pole sana.
 
Pole sana kokudo
Mwenyezi Mungu akujaalie moyo wa uvumilivu.
Uweze kustahimili maumivu ya kumkosa mwanao.

Pole sana sana . .
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa msiba huu mkubwa katika maisha yako, Mungu mwenye neema na rehema nyingi akupe nguvu katika wakati huu mgumu. nakuombea sana
 
Dahhh what a loss jamani.....pole sana kokudo Mungu akutie nguvu kipindi iki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kokudo, only time en prayers can heal wat u r going through, tunakuombea upate ujasiri na nguvu katika kipindi hiki kigumu mpendwa
 
Pole sana Kokudo, Mungu akutie nguvu haswa ktk kipindi hiki kigumu kwako. Roho ya mwanao ipumzishwe kwa amani amina!
 
Ubarikiwe sana mama!!!!

Asante sana Eiyer.
Jf tunaishi kama Ndugu kbs.
Tatizo la mmoja wapo najua ni tatizo letu sote.
Inshaallah! Allah atamsimamia.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Kokudo Mungu akupe faraja na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pole sana Mkuu kokudo, tumuombee heri.... Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake li himidiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom