John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,254
- 16,437
NMB wanatabia za ki haszu na secretarybird
Sio kwamba nimeomba leo, huwa sipati wakati wote kila nikiomba inanigomeaLazima yapite masaa 24
kumbe tupo wengiNmb this is too much kubabake
Daah sikuwahi kujua kama huu uzi una mambo mengi hivi!! 😁😁😁halafu walivyo wapumbavu, wamezuia comments kwenye page zao za social media ili tusicomment
Huu uzi ukiingia jiandae kucheka sanaDaah sikuwahi kujua kama huu uzi una mambo mengi hivi!! 😁😁😁
Tuko wengi.. hata mimi nipo crdb ila hadi sahivi ni bila bilaLeo mimi ndio nitafunga tatu bora wa mwisho kwa CRDB .. maana mpk sasa sijapata
mambo ganiDaah sikuwahi kujua kama huu uzi una mambo mengi hivi!! 😁😁😁
Kwanini nidanganye mkuu,si kweli
Nipeni majibu, bado nimelala nguvu ya kutoka nje sina.Equation x chonde chonde
Hii taarifa ni kweli, binafsi sifanyi NMB lakini tarehe 19-20 huwa nalipwa.Watumishi wa NMB wao naskia tarehe 18 tu huwa wameishapewa,ninachokiona hapa ni wivu wao za kwao wamemaliza🤣🤣🤣🤣🤣.
Ita boda, chukua kadi, Nenda ATM bonyeza pesa itoke. Over.Nipeni majibu, bado nimelala nguvu ya kutoka nje sina.
Mi nitakua shahidi kakaWanasheria niambieni hivi nikienda mahakamani kuwafungulia kesi NMB kwa kunicheleweshea mshahara si kesi inasikilizika kabisa? Kiukweli nishapaniki.
Hawa jamaa wa nmb mbona jaukumbe tupo wengi
HahahahahahaKuna jamaa anasingizia Nmb hataki kulipa madeni ya watu 😀😀
Humu kuna maprincipal kabisa mkuu wewe tia mautaalam na wewe. Tupate mautaalam watamemisenga. Mkuu andiken ma mirad vijana tusife njaa.pitishenDaah sikuwahi kujua kama huu uzi una mambo mengi hivi!! 😁😁😁