Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

NMB toka wqmefanya maboresho yao yakijinga jinga hivi na kuanza kuandika Majina Matatu kwa HERUFI KUBWA wamekuwa wapumba.vu sana salary inaweza ingia asubuhi sms ukapata keshokutwa mida kama hii

Naona mambo bado magumu sana upande wangu
 
Back
Top Bottom