kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,344
- 5,455
Option ipo nowDawa ya kuvunja ni kutafuta hela ya kufidia ile advance kwenye ule mwezi,ili mshahara uwe mzima....then unatemana nao..mfano kuna mwezi nliwahi wauliza nmb kama kuna namna ya kulipa ile adv kabla ya salary kutoka...wakasema hyo option haipo..