Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

aisee ina Addiction(uratibu) fulani Kama Kamari, ukianza huachi
Dawa ya kuvunja ni kutafuta hela ya kufidia ile advance kwenye ule mwezi,ili mshahara uwe mzima....then unatemana nao..mfano kuna mwezi nliwahi wauliza nmb kama kuna namna ya kulipa ile adv kabla ya salary kutoka...wakasema hyo option haipo..
 
Yah nan hata iingie milioni 10 wao wanakudai 50k hawaigusi hiyo hela mpaka mshahara uje😁😁😁
 
Walinipa mchanganuo,kwamba itakatwa endapo salary ikiingia,ama endapo mwajiri hajaniingizia hela then hela yoyote itakapo ingia watachukua..ama pia naweza chukua salary advance leo,then kesho mtu akaweka hela kwa kutumia code za Salary then ile hela itakatwa pia maana ni kama robot..inakariri kwamba hela itakayo ingia na code za salary linakata.

Maana miamala yote huwa inaingia kwa Code Maalumu.
 
Back
Top Bottom