DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,464
- 32,689
Hapo hata kadeti huwezi nunua brošwengi sana, halafu wote wanangojea meseji ya mshahara.
Hapo hata kadeti huwezi nunua brošwengi sana, halafu wote wanangojea meseji ya mshahara.
Wengine sis badoCRDB salary imeingia saa kumi usiku. Ajabu nimekuta 71k kwenye account! Nikivuta statement haiji
CRDB?Wengine sis bado
Na wewe pamoja Roho mbaya inayofunikwa fedha za damu za kutoka CCM bado una njaa?Oya wadau mbona mnanitisha miez mi3 hadi kazi niachishwe simple ivo
Mm pia CRDBCRDB?
Mi washanivuruga.
Utakuja. Mimi sms imeingia sa kumi usikuMm pia CRDB
Bank gani?Utakuja. Mimi sms imeingia sa kumi usiku
ndio nimeonaUtakuja. Mimi sms imeingia sa kumi usiku
Wanasubiri muandamaneSasa NMB wanasubiri nini!
Leo mm hata waweke siendi, washanikeraNMB mnashida gani huko mliko, mm sina nauli ya kwendea kazini š
CRDB tayari sijui wameweka saa ngapi maana saa 6 ilikua Bado naamka saa 12 mzigo on.Leo mm hata waweke siendi, washanikera
Yaani wameniamsha na moodCRDB wametuamsha asubuh mnooo