DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,103
- 11,904
Andika kitu kinachoeleweka...Dakika za lala salama(18.15)NMB ametuma alert mambo tayari
Andika kitu kinachoeleweka...Dakika za lala salama(18.15)NMB ametuma alert mambo tayari
An weka watu roho juuAndika kitu kinachoeleweka...
Anaandika udaku haeleweki.. mtu andika NMB MSHAHARA TAYARI, NIMEPATA MESEJI SASA HIVI..An weka watu roho juu
Ana zingua wengine wapo kuchora watu humuAnaandika udaku haeleweki.. mtu andika NMB MSHAHARA TAYARI, NIMEPATA MESEJI SASA HIVI..
Yakuambiwa......Kipindi niko kwenye ajira serikalini mshahara nilikuwa nautumia kut@mbea😀
Waja mnambwembwe sana, ukiwa less unaweza mpanikisha mtu akazani mnatembelea V8, kumbe walewale.Kipindi niko kwenye ajira serikalini mshahara nilikuwa nautumia kut@mbea😀
Kwa HR huyu huyu wa kilwa akuache tu salamaHivi nikidoji miez mitatu kazini bila ruhsa naweza sitishiwa mshahara
Kwamba naweza kufukuzwa kazi auKwa HR huyu huyu wa kilwa akuache tu salama
Miezi 3 mbona mingi. Ukichomoka ni bahati sanaKwamba naweza kufukuzwa kazi au
Ukiitwa mule ase af HR wa sasa wengi wakike watakushamburia ipasavyoKwamba naweza kufukuzwa kazi au
Oya wadau mbona mnanitisha miez mi3 hadi kazi niachishwe simple ivoMiezi 3 mbona mingi. Ukichomoka ni bahati sana
We unasema miezi mitatu?siku 3 tu bila taarifa ni msalaOya wadau mbona mnanitisha miez mi3 hadi kazi niachishwe simple ivo
Sasa miezi 3 kazi yako nani atafanya?Oya wadau mbona mnanitisha miez mi3 hadi kazi niachishwe simple ivo
Hebu kuwa serious na kazi mkuu kama unasababu ya msingi miezi yote haupo kazini si uombe tu likizo la Bila malipo ukafanye mambo yako ukikalisha urudiHivi nikidoji miez mitatu kazini bila ruhsa naweza sitishiwa mshahara