Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kaa hivyo hivyo na mtazamo wako, we post Yako halafu niambie niambatanishe na chochote unachotaka ili uone na uamini. Ukitaka ID nitaweka, ukitaka passport nitaweka, namba ya simu uone usajili nitaweka, cheti Cha ndoa nitaweka, luku namba nitaweka, usajili wa ndinga nitaweka, ilimradi ukose pa kutokea na tuheshimiane mtaan hapa JF. Acheni kuchukulia watu kwa mawazo yenu na usiwe judgemental. Humjui yoyote humu, mkituona kwenye Uzi huu mnaona watumishi ni wachooovu hatuna ishu. Trust me tuna ishu
Vya kazi gani bwana kaa na mshahara wako...usichukulie personal..mbona kama umereact sana? Take it easy ba mdogo
Maisha sio serious hivyo...
 
Back
Top Bottom