Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,654
- 171,735
Mwanetu umejipata, ingekua enzi zako usjakuja kutuelezea hali ilivyo tete 😁Ata wewe???
Mwanetu umejipata, ingekua enzi zako usjakuja kutuelezea hali ilivyo tete 😁Ata wewe???
Wala bata huu uzi hauwahusuJana nilikua tanga mjini, this week ntakua korogwe na mshahara nahisi utanikuta huku
Sio bata ni mihangaiko😃😃Wala bata huu uzi hauwahusu
Evelyn Salt may be wiki hii humanitarian jukwaani, ka post sana mambo ya bata..Max kajipata, huu uzi haumhusu tena
Nipo kwenye ka mji kana anasa sana tanga yaani nimeanza kutoa milio mapema mara baikoko mara karaoke sijui vikorokoro gani ili mradi ukeshe tu club utoke bila hata kumi
View attachment 3693834
Hivi mnalewaga wapi mbona mi sio ni. Nazurura Taifa road km mtalii,,, View attachment 3693835
Uko wapi mzeeView attachment 3693834
Hivi mnalewaga wapi mbona mi sio ni. Nazurura Taifa road km mtalii,,, View attachment 3693835
Mgao wa Elnino umekupita?Wala bata huu uzi hauwahusu
Tanga, barabara sijui ya ngapiUko wapi mzee
Ndo unarudi toka kanda ya ziwa kula bata. 😅🤣😂Tanga, barabara sijui ya ngapi
Sijapata hata yanii kukosa koneksheni kazi sanaMgao wa Elnino umekupita?
HUna maisha, ukipata pesa simu ziite kuna machimbo mzee babaTanga, barabara sijui ya ngapi
Ngoma mpaka tarehe ijumaa ,tuvute subira.Rafiki Mahondaw ukujjjjeeeee au ndo tunamalizia za mitihaniii. 💃💃