DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,442
- 32,590
Sijawahi fika, ila fanya vyovyote utembelee korogweNataka kesho niende Pangani, Kuna unyama?
Sijawahi fika, ila fanya vyovyote utembelee korogweNataka kesho niende Pangani, Kuna unyama?
Kibunda
Kesho nitaona. Huu mshahara poleSijawahi fika, ila fanya vyovyote utembelee korogwe
Hahaaa ndiyo raha ya kutiana hasira ,kashajifunza hakuna kulialia njaa tena!Braza King Kong III mchukue Mad Max sio mwenzetu
Kesho we are back broHahaaa ndiyo raha ya kutiana hasira ,kashajifunza hakuna kulialia njaa tena!
Get Angry ,Be Inspired ,It could be You!
Safi sana 🙌 🙌Kesho we are back bro
Daah
Jau sanaa
Anakuja kusanifu tu hapa 😁Mad Max hatukutaki kwenye huu uzi 😅🤣😂
Kimoyoni anawaza "wanaacha kutafuta hela wanategemea mshahara, watafute hela waache kulalamika"Anakuja kusanifu tu hapa 😁
Kabisaaaa 😂Kimoyoni anawaza "wanaacha kutafuta hela wanategemea mshahara, watafute hela waache kulalamika"
Kuja kulia lia humu kunasaidia kupooza machungu ukikutana na wadau nao wanalia kilio kimoja na weweKimoyoni anawaza "wanaacha kutafuta hela wanategemea mshahara, watafute hela waache kulalamika"
Tunataka tujiandae Mapema na El NiNOHata tarehe 20 bado, daaaah watumishi mnadeka sana 😂😂😂
Ahsante kwa kunidolishia. 😂😂
Yaani. Kwa kweli tuvute subira.Ngoma mpaka tarehe ijumaa ,tuvute subira.
NMB wangese sana,mshahara unaingia kimya kimya bila sms.Mbona mm sijaona meseji! Au mpunga umeingia kimya kimya
Uzi wa kitumishi huuyaani ukishaona huu uzi tu