I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,758
- 3,184
😢Mkuu hata mm kavu
😢Mkuu hata mm kavu
Aiseee usikute salary yenyewe LAKI 6.HATIMAYE LEO NATOKA MACHAKANI KUINGIA MJINI KUFANYA USUMBUFU.
Nikaagize kuku mzima na bia ya safari huku nimefungua kifungo cha shati niusuuze moyo na warembo wawili majobless wakinipepea.
Halafu wengi inaonekana mishahara ipo chini ya laki 8.wazee wa kukingaa mnasumbua sana halafu ukifika tarehe 10 oct hamna hata mia😀
akilipa madeni anabaki na laki 2 kwahio automatic tarehe 10 hana miaHalafu wengi inaonekana mishahara ipo chini ya laki 8.
Wanaopokea salary ndefu hauwezi kuwakuta wanalialia sababu mishahara inakutana.
Tar 10 mbali sana labda kama BACHELA.akilipa madeni anabaki na laki 2 kwahio automatic tarehe 10 hana mia
hatari sana kwa mantiki hio tuconclude kwamba siku serikali yao ikisema hakuna hela ya kuwalipa mishahara siku 90 kutakuwa na vifo vingi sana mitaani😀Tar 10 mbali sana labda kama BACHELA.
Ni kusaga meno.hatari sana kwa mantiki hio tuconclude kwamba siku serikali yao ikisema hakuna hela wa kuwalipa mishahara siku 90 kutakuwa na vifo vingi sana mitaani😀
Ajira ni trapNi kusaga meno.
Ukiipata sahv kwenye ESS mkuu naomba Radhi mkuu, Kiufupi tukubaliane haina Muda maalumu hapo kabla ilikuwa hadintarehe 30 ndio inawekwa ila kwa huu mwaka wamenzaanza kuweka mapema sasa naomba utizame ya Septmbet sahv ukiipata nafuta kauli yangu na naacha ujuaji MkuuAcha ujuaji wa ajabu
ESS before ilikuwa hadi tarehe 30 Mkuu, Kuanzia huu Mwaka naona kiid9go wanawahi ila Nakakata inaanza Salalry slip ndio inakuja salary hapana sio kweli, Afu Kwenye ESS tizama sahv kama utaipata ya SeptemberHapana. Kwenye salary slip wanaandika tarehe 30 kwakuwa ndio mwisho wa mwezi.
Salary slip haijawahi kuchelewa karibu mwaka sasa. Tarehe 23, 34 inakuwa tayari.
ESS au ministry of finance inapatikana kwa haraka sana.
Nimecheki ess na salary portal kote bado ila mwezi wa 7 salary portal walitoa tarehe 24 . Kuna mwezi ESS tarehe 23 tu ilikuwa tayariESS before ilikuwa hadi tarehe 30 Mkuu, Kuanzia huu Mwaka naona kiid9go wanawahi ila Nakakata inaanza Salalry slip ndio inakuja salary hapana sio kweli, Afu Kwenye ESS tizama sahv kama utaipata ya September
Nimecheki ess na salary portal kote bado ila mwezi wa 7 salary portal walitoa tarehe 24 . Kuna mwezi ESS tarehe 23 tu ilikuwa tayari
NA LINI salary slip imewahi kabla ya Salary!?Nimecheki ess na salary portal kote bado ila mwezi wa 7 salary portal walitoa tarehe 24 . Kuna mwezi ESS tarehe 23 tu ilikuwa tayari
Salary slip hazipo Kwenye ess tu, Ndo maana mnaambiwa muwe mnauliza sio kujifanya wajuajiUkiipata sahv kwenye ESS mkuu naomba Radhi mkuu, Kiufupi tukubaliane haina Muda maalumu hapo kabla ilikuwa hadintarehe 30 ndio inawekwa ila kwa huu mwaka wamenzaanza kuweka mapema sasa naomba utizame ya Septmbet sahv ukiipata nafuta kauli yangu na naacha ujuaji Mkuu