Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,750
- 2,878
Mimi ndio wa kwanza kuleta shuhudaTEna CRDB na NMB hawajaleta shuhuda
Mimi ndio wa kwanza kuleta shuhudaTEna CRDB na NMB hawajaleta shuhuda
Nimeona kk naona ulikeshea kwenye app yaoMimi ndio wa kwanza kuleta shuhuda
Nilikuawa sijaelewa. KwaheriniKwani hapa tunaongelea nn, tayari wenye account Nbc
Hali ilikuwa tete kakaNimeona kk naona ulikeshea kwenye app yao
Crdb kwangu bado. Nimekuta sms ya kukumbushwa advance salaryHali ilikuwa tete kaka
Nmb safari hii wametuangusha sanaCRDB mzigo tayarii💣💣💥💥
Acha ujuaji wa ajabuAliekudamganya Nani Mkuu Salary Slip huchelewa na mara nyingi huanza kuonekana kwenye Mfumo kuanzia tarehe 30
Watu mnashinda huko😂😂Makato Tayar toka saaa 11 na nusu