mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,701
- 5,315
Aliekudamganya Nani Mkuu Salary Slip huchelewa na mara nyingi huanza kuonekana kwenye Mfumo kuanzia tarehe 30Maana yake bado, ila salary slip hua zinawahi kabla ya salary
Aliekudamganya Nani Mkuu Salary Slip huchelewa na mara nyingi huanza kuonekana kwenye Mfumo kuanzia tarehe 30Maana yake bado, ila salary slip hua zinawahi kabla ya salary
Una check no.?Huyu jamaa hr alitujibu hivi?
Hapana. Kwenye salary slip wanaandika tarehe 30 kwakuwa ndio mwisho wa mwezi.Aliekudamganya Nani Mkuu Salary Slip huchelewa na mara nyingi huanza kuonekana kwenye Mfumo kuanzia tarehe 30
Are you okay?Nilitaka kuuliza kichapo polisi “Hana mshahara”View attachment 3676076
wana sungiziaga mtandao kuna watu wameripot mwezi wa 8 na bado wamekarishwa wasubiri mwezi 10 imagenILA MA HR nakuwahi kote huko tarehe 8 bado hapo ataanza kumsingizia APPROVAL
CRDB tayari mzeeVipi huko tayari mazee?
ACha uongo kijanaCRDB tayari wakuu.
Nimeamka nakuta mpunga umeingia.
Nawasilisha.
Kwenye huu uzi siwez kidanganya .. ni bora nikae kimyaA
ACha uongo kijana
Kwani hapa tunaongelea nn, tayari wenye account NbcMzigo gani
TEna CRDB na NMB hawajaleta shuhudaKwenye huu uzi siwez kidanganya .. ni bora nikae kimya
Nilikuwa na sh 83. Ila asubuhi nimekuta digits za kutosha kutoka hazina hahTEna CRDB na NMB hawajaleta shuhuda