Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,858
- 25,064
NMB 🚮
Nmb oyeeDah hatinae na mm nimeanza kufatilia huu uzi, NMB wakicheka nishtueni 🤣
Ajira mpya?Dah hatinae na mm nimeanza kufatilia huu uzi, NMB wakicheka nishtueni 🤣
Kwangu tayari ingawa sijaona SMS, ila Salio lipoNMB mnataka familia ilale njaa siku ngapi ndiyo muachie hizo hela?
Nmb??HATIMAYE LEO NATOKA MACHAKANI KUINGIA MJINI KUFANYA USUMBUFU.
Nikaagize kuku mzima na bia ya safari huku nimefungua kifungo cha shati niusuuze moyo na warembo wawili majobless wakinipepea.
Leo ninaweza kumtukana mtu maana jeuri ipoo, naakienda polisi namlipa maana jeuri ipooooooo.Lala huko huko hadi upate meseji ya NMB 😀
Benki zote tayari nadhani wanalipa kwa mafungu kama nyanya. Ila wale wa posta ni mpaka tarehe 01 mwezi wa 10.Mbona mi bado NMB😥
😢Benki zote tayari nadhani wanalipa kwa mafungu kama nyanya. Ila wale wa posta ni mpaka tarehe 01 mwezi wa 10.
Umepata SMS ama umeangalia Salio?Benki zote tayari nadhani wanalipa kwa mafungu kama nyanya. Ila wale wa posta ni mpaka tarehe 01 mwezi wa 10.
Songesha na advanceOi mtu anikopeshe😥😭