Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,183
- 103,048
Advance watataka ipite 24 hoursSongesha na advance
Advance watataka ipite 24 hoursSongesha na advance
KumbeAdvance watataka ipite 24 hours
Unataka bumper to bumper kakaKumbe
Sijawahi kutumia ko sielewiUnataka bumper to bumper kaka
Umepata sms ya muamala ama umeangalia salioNMB tayari..
naona wote tutafikiwa ni swala la muda
Ukiangalia salio mzigo unaukutaUmepata sms ya muamala ama umeangalia salio
Nimechek salio chiefUmepata sms ya muamala ama umeangalia salio
Wekeza wewe fisi nyambafuMfanye na kazi wazee sio kucheka kama mafisi
NB
Kuwekeza muhimu
Wekeza wewe fisi nyambafu
Anaingilia maisha ya watuApunguze ushauri.
😁😁😁😁Anaingilia maisha ya watu
Anatushauri matajiriApunguze ushauri.
Sawa tajiriWekeza wewe fisi nyambafu
Nmb oyee
Kwa mwendo huo tarehe Moja huna kitu😃HATIMAYE LEO NATOKA MACHAKANI KUINGIA MJINI KUFANYA USUMBUFU.
Nikaagize kuku mzima na bia ya safari huku nimefungua kifungo cha shati niusuuze moyo na warembo wawili majobless wakinipepea.
Mkuu hata mm kavuMbona mi bado NMB😥