Ngoma jumatatu hii mkuu kama sio jumanne kabisa 😁Oya wakuu vipi jamani huko? Hizi dalili sio nzuri, watakuja kutulombea mabebez wetu.
Serikali haitambui kuwa Maulid itakuwa jumanne? Tunatakiwa kuanza maandalizi mapema.Ngoma jumatatu hii mkuu kama sio jumanne kabisa 😁
Huenda Maulid ikawaponyaSerikali haitambui kuwa Maulid itakuwa jumanne? Tunatakiwa kuanza maandalizi mapema.
😂 eti huenda ikawaponya. Swala la kula maharage Maulid hapana.Huenda Maulid ikawaponya
Jumatatu muandae mazishi. Nitakufa njaa.Ngoma jumatatu hii mkuu kama sio jumanne kabisa 😁
Maulid lini?Huenda Maulid ikawaponya
Sasa shopping lini? Pesa waweke leo bwana.Jtatu maulid inaweza kuwa public holiday so salary either jumamosi haswaaa
Tulia kijanaSasa shopping lini? Pesa waweke leo bwana.
😀😀Mpaka muda huu bila bila, dalili hazionekani kabisaa. Kuna kila dalili leo kushindia uji na chumvi.
Maharage na ngogwe havijawahi kuua mtu 😁Jumatatu muandae mazishi. Nitakufa njaa.
MondayMaulid lini?
😅😅😅😅😅 wasDUBULIHASA naona ulipewa posho mlima 8/8 kiasi hata ukumbuki tarehe zimefika.
Waweke pesa leo bwanaTulia kijana
Kila kitu kimeisha, hadi chumvi..Maharage na ngogwe havijawahi kuua mtu 😁
😀😀 huu uzi kila nikiingia upo trendingKila kitu kimeisha, hadi chumvi..