DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,471
- 32,697
Zikiingia crdb tustuane.benki gani
Zikiingia crdb tustuane.benki gani
Nmb wakuu,mm nafanya biashara ila hela ya salary madogo home lazima nitoe hat 50 wakanunue kekibenki gani
Yeah, hii bank ya kipuuzi, tupeane updatesZikiingia crdb tustuane.
Mida hii au?NMB kwangu tayari, tukutane Septemba
Pamoja kaka, vijimshahara vyetu vidogo sana, one day tutatoboa. CRDB kinyonge sana hapa saa 2 hadi 4 usikuNmb wakuu,mm nafanya biashara ila hela ya salary madogo home lazima nitoe hat 50 wakanunue keki
CRDB muda huu saa 12:50 jion tayari..Zikiingia crdb tustuane.
Braza we ukiongeaga nikiangalia salio nakuta kweli, ngoja nicheki balanceCRDB muda huu saa 12:50 jion tayari..
kama wewe umesema naamini ngoja nichungulieCRDB kila siku kuchelewesha pesa... Ila me imeingia saa hiivi.. Kuna mzee wa Iquity anasema tokea saa 5 wako na pesa
hamnaMzigo tayari
tayari?duuu
vp umekuta?Braza we ukiongeaga nikiangalia salio nakuta kweli, ngoja nicheki balance
Bank gan mkuuTukutane September wakuu
Nmb imeingia toka saa 7.00Bank gan mkuu