Mimi kwangu crdb holaCRDB kila siku kuchelewesha pesa... Ila me imeingia saa hiivi.. Kuna mzee wa Iquity anasema tokea saa 5 wako na pesa
Duuh huku CRDB watatuua mamb badoNmb imeingia toka saa 7.00
Bado hollaCRDB kila siku kuchelewesha pesa... Ila me imeingia saa hiivi.. Kuna mzee wa Iquity anasema tokea saa 5 wako na pesa
watu wa eight figureNahisi wanalipa kwa Awamu wanangu wq Tamisemi wote NMB tayari iwe Walimu na Afya sie Serikali Kuu tuliopo shift sahv kila mtu bado
SahihiNahisi wanalipa kwa Awamu wanangu wq Tamisemi wote NMB tayari iwe Walimu na Afya sie Serikali Kuu tuliopo shift sahv kila mtu bado
Ivutie subira tu..haiwez kugoma hyo ni moja ya huduma inayoingiza pesa nyingiNmb Leo salary advance wamegoma
vp wewe umeshapata?Ivutie subira tu..haiwez kugoma hyo ni moja ya huduma inayoingiza pesa nyingi
Ngoja niwe mpoleIvutie subira tu..haiwez kugoma hyo ni moja ya huduma inayoingiza pesa nyingi
CRDB bado sijapatavp wewe umeshapata?
Jumatatu watatuua mkuuHapa kuna dalili hadi tukalipwe crsb nyie wengine zishaisha au jumatatu??😃