Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,170
- 27,334
Kwa nini usiseme mtumishi ikatosha ila ukasema mwanamke?Ila kuna mwanamke mmoja yy saa 4 na dk 30 kaingiziwa
Kwa nini usiseme mtumishi ikatosha ila ukasema mwanamke?Ila kuna mwanamke mmoja yy saa 4 na dk 30 kaingiziwa
Yes NMBNmb??
Acha kabisa.Bank yetu wafanyakazi wa serikali ni NMB. Wenzako tumepata kitambo wewe umebaki unabung’aa
Kuna kanyongeza?ila ukichek salary slip portal tayari ushawekwa
Hakuna faida unayoipata sana sana utaingia kwenye mikopoKwa kumalizia kabla sijaondoka nina mambo mawili ya kuhitimisha.
Kwanza faida moja ninayoiona mshahara ukichelewa ni kwamba napata muda wa kupumzika na kukaa na familia yangu.. Kwa mfano, this time sijaenda kazini/nimepumzika kwa siku mbili yaani toka jana.. Kwa maana hiyo wasingetoa leo ningeendelea kupumzika mpaka mwisho wa nyakati..
Jambo la pili ni kwamba, wajinga wajinga wanaopenda kushauri, waelewe kwamba hatutaki shobo.. Huo ushauri wawapelekee mabwana zao..Sio kila uzi na kila wakati wa kuleta uduwanzi wenu wa kushauri watu.. Mnaandika ujinga tu content zenu utafikiri watoto wa shule ya msingi Unga Limited... Kwa sasa hivi naenda kuupa mwili pole, simu nitamwachia house girl wangu huo utumbo mtakaouandika atausoma atanipa mrejesho. AM OUT
kwangu me hakuna sina uhakika kwa wengine kwa sababu me nilipaswa nipande daraja ila bahati mbaya nikapata fursa ya masomo nje so sikuweza hata kuijaza pempis ikabidi niwahi shule so me ni uleuleKuna kanyongeza?
mishahara tayari tatizo liko bank zetuHongereni sana mliopata
Uzi wa maana kabisa huu🤣Haaaaaaaah kuna nyuzi humu hazina maana kabisa
Mkuu si wa benki ya nembo ya kijani bilabilaKwa kumalizia kabla sijaondoka nina mambo mawili ya kuhitimisha.
Kwanza faida moja ninayoiona mshahara ukichelewa ni kwamba napata muda wa kupumzika na kukaa na familia yangu.. Kwa mfano, this time sijaenda kazini/nimepumzika kwa siku mbili yaani toka jana.. Kwa maana hiyo wasingetoa leo ningeendelea kupumzika mpaka mwisho wa nyakati..
Jambo la pili ni kwamba, wajinga wajinga wanaopenda kushauri, waelewe kwamba hatutaki shobo.. Huo ushauri wawapelekee mabwana zao..Sio kila uzi na kila wakati wa kuleta uduwanzi wenu wa kushauri watu.. Mnaandika ujinga tu content zenu utafikiri watoto wa shule ya msingi Unga Limited... Kwa sasa hivi naenda kuupa mwili pole, simu nitamwachia house girl wangu huo utumbo mtakaouandika atausoma atanipa mrejesho. AM OUT
We benk gani wenzio wote washapataHongereni sana mliopata
Utakuwa na maana endapo utakuwa endelevuUzi wa maana kabisa huu🤣
Huyu Nikusekela na hii benki yake wanazingua sana.Mkuu si wa benki ya nembo ya kijani bilabila
TayariiiiHuyu Nikusekela na hii benki yake wanazingua sana.