Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,957
- 183,563
Ni endelevu mkuu. Huoni ni wa lini na upo mpaka leo? Yaani kila mwezi tunatia timu kudai chetuš¤£Utakuwa na maana endapo utakuwa endelevu
Ni endelevu mkuu. Huoni ni wa lini na upo mpaka leo? Yaani kila mwezi tunatia timu kudai chetuš¤£Utakuwa na maana endapo utakuwa endelevu
Yani hicho kijamaa kindimba ni cha hovyo sana. bichwa kubwa lakini hamna kitu..Huyu Nikusekela na hii benki yake wanazingua sana.
Hivi wameweka nyongeza au bado mkandamizo unaendeleaHongereni sana mliopata
CrdbTayariiii
Mimi sijapata badoHivi wameweka nyongeza au bado mkandamizo unaendelea
CrdbWe benk gani wenzio wote washapata
PoteCr
Crdb
Labda banks ndizo zinacheleweshaMimi sijapata bado
CRDB wana laana , wanasumbua haoLabda banks ndizo zinachelewesha
BadoCrdb tayari?
NopCrdb tayari?
Kina CRDB yoyote ambaye tayari?Nyie ambao bado mtakuwa private sio bure
CRDB naona wametuzoea, hii tabia imekuwa sugu na hawatolei ufafanuziKina CRDB yoyote ambaye tayari?
Ni watoto wa mama woteNyie ambao bado mtakuwa private sio bure
Hiyo bank watu wahame ni wahuni sana.CRDB naona wametuzoea, hii tabia imekuwa sugu na hawatolei ufafanuzi
nadhan kwa sababu sijawahi kopaMbona una kiwango kidogo sana kupata mshiko fasta ?