Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Huu uzi mwezi huu umetoka kwenye kuhabarishana na kufarijiana, hadi kwenye kutukanana matusi ya nguoni! Hii ni hatari. Ndugu zangu msiohusika na huu uzi kama vipi, tokeni kwenye huu uzi ili utulivu urejee. Watu wana hasira.
 
Mim naona na sisi tunachangia...mtu anakuja kushauri biashara humu, kwanini usim-ignore...unamjibu wa nn...matokeo yake watu wanatukanana
 
Back
Top Bottom