Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ndiyo shida ya kutegemea salary kwa 100% ,jitahidini muwe na another source of income ,ona hata tarehe 30 haijafikia mshaanza kupiga MAYOWE.

Inasikitisha sana ,sasa mtu kama huyu ukimkabidhi ofisi ya umma si atakuwa MLA RUSHWA tu?
30 ishafika mkuu Unalipwa Tarehe 23 ni hadi tarehe 22 au 23 huwa zimeshafika 30 kama watalipa tareh3 30 basi kila mwezi waanze lipa tarehe 30 Pia
 
Hahaha vituko, kejeli bahati mbYa sana ni wasio watumishi ndio hulalamika what's wrong with you ma nigga. Just calm down mzigo kesho uhakika saa 5
 
Mkuu sasa mtu anauliza pepmis ni nini kweli huyu ni mwenzetu kweli? Ni kama kanisani mchungaji anasema "fungua biblia tusome Mhubiri 12:3.."

Ananyanyuka mtu anauliza "biblia ni nini?"
Wengine huwa tunaenda kusikiliza nyimbo tu, mambo ya mhubiri abaki nayo mchungaji.
 
Back
Top Bottom