King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,081
- 98,322
Sijakuelewa.Kwenu Kigoma, unafanya kazi Lindi.
Hicho kipato, utaanza kuvua samaki.
Kwani kutafuta kipato nje ya mshahara lazima ufanyie ulipozaliwa? Ndiyo maana Heche anasisitiza tubadili elimu zetu zisiwe za Panzi ana miguu mingapi bali ziwe zinaweza kumfanya mtu ajiajiri.
Mimi enzi nakua nilijifunza ufundi selemala wakati wa likizo ,wakati nimeajiriwa nilikuwa natengeneza fenicha nauza kuongeza kipato ila kwasasa nishastaafu ,nachoma mkaa minjingu na pia vijana wanafanya fenicha mimi nawamentor tu ila ofisi ni yangu.