Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,293
- 64,438
Usingizi unagoma kabisa, uko tayari?
Mimi nasubiri mlipwe nikusanye madeni.Usingizi unagoma kabisa, uko tayari?
Pesa hakuna kweli , zilizobaki ni za ziara za viongozi .Hivi serikali ikisema hamna hela mwezi huu itakuwaje wadau
We jamaa muongo muongo sana, ndo upo teethMnadanganyana sana .
Ofisi yetu imeongeza mshahara kama sh. 400k na posho imeongezeka kama 300k.
Kama kungekuwa hakuna pesa unadhani serikali ingekubali kupitisha bajeti kama hii.
Pesa zipo, Tanzania ya sasa si ile mnayoidhani. Rais Samia kaboresha uchumi wa Tanzania mara dufu sema tu hakuna propaganda kama zile za bwana Jiwe
Kivipi hebu fafanua mkuu...Huu uzi huwa unachekesha sana
Tunakufwaaa....Hivi serikali ikisema hamna hela mwezi huu itakuwaje wadau
Anaeijua shortcut ya Mwenge kwenda Kimara
watu watakufa njaa😆Hivi serikali ikisema hamna hela mwezi huu itakuwaje wadau
sasa hapo uongo uko wapi?We jamaa muongo muongo sana, ndo upo teeth
Kaka niunganishe freemason kila tarehe 10 hadi 20 ya mwezi maana huwa nakuwa mzito kama tranka.Vumilieni hali mbaya.
Hata sisi freemason hatujalipwa bado.
Serikali ni kamaa taasisi , nayo pesa haiprint inategemea kutoka kwenye kodi , wahisani , gawio na tozo mbalimbali ..Kuna kipind kama hiki pesa hamna , kule Nest wamefunga hakuna tender , Hazina hawajapeleka pesa kwa taasisi zake , hawa wanaolipwa posho wanaweza wasipewe .sasa hapo uongo uko wapi?
Kwamba tuamini serikali imefulia huku ikiajiri maelfu kwa maelfu kila leo au tuamini serikali ina pesa nyingi ?
kwahiyo unataka kuandamana?Hawa wahuni tukiwachekea tunaenda hadi Tarehe 27
Nkukumbushe hayo ni mawazo yako unahisi hivyo mkuuSerikali ni kamaa taasisi , nayo pesa haiprint inategemea kutoka kwenye kodi , wahisani , gawio na tozo mbalimbali ..Kuna kipind kama hiki pesa hamna , kule Nest wamefunga hakuna tender , Hazina hawajapeleka pesa kwa taasisi zake , hawa wanaolipwa posho wanaweza wasipewe .
Suala la ajira , basi tambua ni mlolongo mrefu , inawezekana ni mpango wa mwaka jana , ambapo wangeanza na bajeti ya mwaka huu .. Unajua mambo yamevurugika ile oktoba ! pesa hamna kwa mishahara wanaweza kulipa sio huko kwingine , baadhi ya taasisi watapata ila wengine watasubiri .