Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Habari zenu watumishi wa umma.
Muda kuacha kula mboga mboga na makabichi umewadia yamebaki masaa. Ni mwendo wa king fish 🐟 maini firigisi.
Usisahau mdudu kavu/choma na kachumbari yenye pilipili! Wakati inatengenezwa unaendelea na Serengeti lite (safari lager ni kuanzia tarehe 5). Ukigonga unashushia tena Serengeti mbili. Unafunga na ya watoto! Ni burudani hebu tuwe unalipwa kwa wiki
 
Usisahau mdudu kavu/choma na kachumbari yenye pilipili! Wakati inatengenezwa unaendelea na Serengeti lite (safari lager ni kuanzia tarehe 5). Ukigonga unashushia tena Serengeti mbili. Unafunga na ya watoto! Ni burudani hebu tuwe unalipwa kwa wiki​
  • ngoja nipate salary yangu ya kwanza sasa​
 
Kuna watu mnafanya kazi tu ili msionekane majobless ila kiuhalisia nyinyi mpo kapu Moja yaan majobless promax.

kama mshahara wako hauwezi kukutana na mshahara wa next month huna tofauti na jobless.
Acha hizoo mshahara haukutani ndio ila amelipa kodi, amelipa ada, amenunua mahitaji binafsi na familia, jobless anaweza kufanya hayo?
 
Back
Top Bottom