Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,321
- 64,488
Sasa hivi barabarani baiskeli ni nyingi kuliko magari, mshahara ukitoka tu, magari yanaongezeka.
Ingia ESS Then mikopo, utaona kama unadaiwa mkopo wowote iwe benk au HESLB utaona umepunguzwa ,hapo ujue mshahra upo njiani masaa machache yajayo.Hv makato unaangalia wap mkuu
usimpe mzigo bibi wewe jikaze wabaki hapo hapo wajue uhalisia😁😁😁Ndani kuna fungu mbili za tembele.
Hazina wasipobonyeza kitufe leo kesho watoto inabidi waende kwa bibi yao.
we unataka kushusha brandi (kwa sauti ya dc magotti🤣)usimpe mzigo bibi wewe jikaze wabaki hapo hapo wajue uhalisia😁😁😁
EssHv makato unaangalia wap mkuu
Ni balaa mkuuAisee unaweza kufa njaa kimasihara sana
Payroll hazija signiwa badoMwezi wa tano mshahara ulitoka kabla makato hayajapita.. kw hyo inawezekana na mwezi huu .. mshahara unaweza kutoka kabla ya makato ..
Kwa hyo tuwe na matumaini leo mambo yanaweza kuwa poa
Ijumaa gani watu tunakufa njaa 😅🤣😂Nishawaambia Ijumaa haya endeleeni kuchungulia makato mfe na pressure.
Sasa watakula nini hapa mkuu?usimpe mzigo bibi wewe jikaze wabaki hapo hapo wajue uhalisia😁😁😁
Mkuu kula dagaa , tenga maharage, pika msusa😆Ijumaa gani watu tunakufa njaa 😅🤣😂
kama ni kweli nini bossNapenda kusoma huu Uzi Kila mwisho wa mwezi,nachekaaaaa,