kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Wakuu, hivi mwezi wa saba sindiyo mwaka mpya wa fedha? Sasa naomba kuuliza kama katikati ya mwezi huo posho zipo kama kawaida? Namaanisha extra duty, chakula na posho nyinginezo?
NB: Mimi ni ajira mpya
NB: Mimi ni ajira mpya