mwenye Uzi wake kajaNimetoka misa ya kwanza sielewi kitu.
Acha tu mkuu.Poleni nyote ambao bado mnaendelea kufanya kazi tamisemi. Huko lazima njaa iwaangamize kama msipojiongeza mapema
Unataka wananchi tupewe huduma na nani?Poleni nyote ambao bado mnaendelea kufanya kazi tamisemi. Huko lazima njaa iwaangamize kama msipojiongeza mapema
Tafuta deals huko utoke mkuu. Utakufa njaa na wizara ya kimaskini hiyoAcha tu mkuu.
Huduma iendane sambamba na maslahi ya watoa huduma. mtumishi huyu anayelia njaa unadhani huko kazini alipo anaweza kutoa huduma Bora inayostahili bila kuboreshewa maslahi yake?Unataka wananchi tupewe huduma na nani?
Kilichobaki kuuza matairi. Mafuta nishauza sana, spare nishauza sana, ila wapi.Tafuta deals huko utoke mkuu. Utakufa njaa na wizara ya kimaskini hiyo
Wanasema tayariMakato tayari au bado wakuu?
Huduma iendane sambamba na maslahi ya watoa huduma. mtumishi huyu anayelia njaa unadhani huko kazini alipo anaweza kutoa huduma Bora inayostahili bila kuboreshewa maslahi yake?
WapiTayari
Tayari nini? Huu uzi tunataka taarifa za ukweli na uhakikaTayari
Makato toka jana saa 12 asubuhiTayari makato yameshapita
Labda makato. Ila mshahara leo j2 sidhaniTayari nini? Huu uzi tunataka taarifa za ukweli na uhakika
Tarehe huwa ni 22/23, hizi zingine ni haraka zetu tu!Mshahara wa mwezi huu unafanana na mwezi march namna walivotutesa,tulijua ungetoka kabla ya idd na makato yakapita mapema tar 19 ila mzigo ukasoma tar 22.
Hapa uhakika ni kesho au Mungu akipenda siku za mbele sana maana mwezi huu wanapandisha sana madaraja.