Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,541
Mbwa analamba reli asee
Professional allowance even police wanapata ni % ya salaryMfano, umesoma development studies?
Hapo unalipwaje?
Zero.
Ila hiyo degree itakusaidia kwenda kozi ya Nyota
Hata ulipwe mamilioni yataisha tu .. hyo ndio kazi ya hela.Umepiga mayowe unasubiria laki8 😃 ukiipata tu ishaisha
🤣Wawekezaji VIA tamisemi kumekucha, watupe hisa zetu😂😂😂
Kwangu bado ni nyau-nyauVp wakuu bado?
Kuna uwezekano pesa itachelewa kidogo, kwa wale wanaodai pesa zao za kujikimu nahisi kuna fungu limetoka.Wawekezaji VIA tamisemi kumekucha, watupe hisa zetu😂😂😂
Mpaka hapo ishachelewaKuna uwezekano pesa itachelewa kidogo, kwa wale wanaodai pesa zao za kujikimu nahisi kuna fungu limetoka.
- huu ndio muda wa kuwagonga mademu waajiriwa kwa offa za michemsho,supu,chapati,nauli,lunch, dinner, beers 🍻Kuna uwezekano pesa itachelewa kidogo, kwa wale wanaodai pesa zao za kujikimu nahisi kuna fungu limetoka.
Mimi hii ningekuwa nimeajiriwa inanitosha kabisa na kujenga ni ndefu mnoo aseeeUmepiga mayowe unasubiria laki8 😃 ukiipata tu ishaisha
🙄 Duh watu mna mahesabu makali🙌- huu ndio muda wa kuwagonga mademu waajiriwa kwa offa za michemsho,supu,chapati,nauli,lunch, dinner, beers 🍻
800,000 ni bajeti yangu ya mafuta ya wiki 2Hata ulipwe mamilioni yataisha tu .. hyo ndio kazi ya hela.
Unamaliki kijiko au katapila800,000 ni bajeti yangu ya mafuta ya wiki 2
Na hio haitoshi hata kuchezea kamari kila siku.Karibu Sea cliff casino ujionee pesa zinavyotumika800,000 ni bajeti yangu ya mafuta ya wiki 2