Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Akienda hospital kama Benjamin mkapa,Muhimbili,ORCI,JKCI scale za kitaasisi anafika mpka 3.5 M
Sina hakika.

Ninao jamaa zangu wanafanya kazi MOI, huwa naona mishahara yao ina ongezeko kama la Laki 2 tu mbele.

Labda Posho.
 
Mwenye hii take home Kwa tamisemi ni principal officer
Mdogo wangu kaajiriwa kwenye taasisi Fulani analipwa 2.9m basic, anapata extra duty 1.02m, housing allowance 500,000/, communication allowance 100,000/-, transport 400,000/- lakini Bado na yeye analia mshahara ukichelewa.
Toka kwa shemej
 
Hizi ni stori za vijiweni bana.

Mishahara ya serikali haizidi milioni 3 kwenye mfumo rasmi, ukiacha na watu wachache sana wanaopata mishahara binafsi.

Hata Mbunge hazidi milioni 5.

Kinacholeta tofauti ni POSHO na ALLOWANCE
Unaonekana upo kwenye eneo ambalo hauwezi kuona salary scale za watu. Ila elewa kwamba wapo wanaovuta zaidi ya m3. Hutaki acha.
 
Back
Top Bottom