Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
Chill bro ulipo wew labda ndo hamna helaHizi History za vijiweni
Chill bro ulipo wew labda ndo hamna helaHizi History za vijiweni
Nipo sehemu nzuri sana lakini sio kama huyo alie simuliwa na mdogo wakeChill bro ulipo wew labda ndo hamna hela
Unaweza kuwa umeongea na mfanya usafi wa hazinakuna wakati nilikuwa nalipwa mshahara wa laki 6. kwa wakati huo nilijichanga nikafanikiwa kununua kiwanja changu cha kuanzia maisha.
kijana wangu wa Ofisi ya Hazina kaniambia tutulize boli. mzigo utaingia tarehe 23
ni dereva tuUnaweza kuwa umeongea na mfanya usafi wa hazina
Acha ubishi weweee Wanajeshi wamepokea mshahara tarehe 20 uckuSio kweli niko nao hapa tunapiga miayo
Ndio mkuu nimethibitisha hilo uko sahihiAcha ubishi weweee Wanajeshi wamepokea mshahara tarehe 20 ucku
Naenda kuusubiri bar ila bar wanayonijuaYou made the day 😂😂😂😂😂😂 ma ma ma eeeee mdogo mdogo na ATM yako 🙌😆
Hizi ni stori za vijiweni bana.
- kwa hiyo unataka kubisha?
- unafikiri mishahara na posho kwenye utumishi wa umma vinafanana?
- kuna taasisi officer Jr salary scale ni hiyo 2.9m.
- Tafuta exposure, kuna taasisi wanalipa extraduty 1.8m per month
Mkuu inazidi. Mi napokea 2.85 na ni mtu mdogo kicheo. Kwenye ofisi yetu Kuna wakubwa zangu kibaoHizi ni stori za vijiweni bana.
Mishahara ya serikali haizidi milioni 3 kwenye mfumo rasmi, ukiacha na watu wachache sana wanaopata mishahara binafsi.
Hata Mbunge hazidi milioni 5.
Kinacholeta tofauti ni POSHO na ALLOWANCE
Umeshapiga interview mara ngapiNatamani niwe kama nyie ndugu zangu mnasubiria mshahara lakini ni uhakika kuliko hakuna uhakika😥
Weka salary slip.Mkuu inazidi. Mi napokea 2.85 na ni mtu mdogo kicheo. Kwenye ofisi yetu Kuna wakubwa zangu kibao
Hata hiyo najulia wapi mie sijasoma sana ni form 2 basiUmeshapiga interview mara ngapi
Hv madereva na nyie hua mnajaza pepmis?Bado mkuu. Nipo najaza pepmis hapa kujipooza
Kujiongeza unamaanisha nini mkuu, turudi shule tukasomee degree ua faculty tofauti au?Poleni nyote ambao bado mnaendelea kufanya kazi tamisemi. Huko lazima njaa iwaangamize kama msipojiongeza mapema
Mkuu as long as unavigezo ni swala la muda tu.Natamani niwe kama nyie ndugu zangu mnasubiria mshahara lakini ni uhakika kuliko hakuna uhakika😥
Ndio mkali. Main task 1 hafu subs kama nne hivi. Sema nyingi ni routine kwahiyo sio ngumu ata.Hv madereva na nyie hua mnajaza pepmis?
Karibu mkuu. Huu uzi sio tu wa kuulizia mishahara, tunapeana chachu pia ya kuhustle kutafuta ajira, kujiajiri na kutafuta kazi ya pembeni.Mkuu as long as unavigezo ni swala la muda tu.
Hata mimi nilikuwa napitia huu uzi kama weww zamani ila kwasasa nami ni mhusika.
Akienda hospital kama Benjamin mkapa,Muhimbili,ORCI,JKCI scale za kitaasisi anafika mpka 3.5 MWeka salary slip.
Maelezo yasiwe mengi.
👇👇
Huu hapa ni mshahara wa Daktari Bingwa, aliyekaa darasani miaka 10.
View attachment 3613191