Upo sahihi... Jumapili tulishawahi kufurahi mara nyingi tuHii inaweza ingia kesho tukiwa kwenye misa..alafu ndio uwe muda wa ahadi
Pambana hapo Musoma DC ChiefHuwa mnaangalia wapi hayo makato
Mimi ajira mpya wilaya Ya musoma
Nimeshaomba uhamisho wa kuhamia Manispaa ya Kinondoni ili nipate urahisi wa kwenda Kitambaa cheupe siku za weekend.Pambana hapo Musoma DC Chief
Aliyekwambia mil 7 ndio standard unit nani ?Kama kipato chako Kiko chini ya 7m wewe bado unapambana
Upate laki3 na uishi comfortable life 😂😂😂 impossible, tuache kujidangayaAliyekwambia mil 7 ndio standard unit nani ?
Kuna watu wanapokea laki 3 kwa mwezi na wanaishi comfortable life kuliko mwenye hiyo mil 7.
True ila sio lazima milioni 7. Kwa darilama ukipata 2.5 m utaishi life la kinyama ila uwe na budgetUpate laki3 na uishi comfortable life 😂😂😂 impossible, tuache kujidangaya
Standard ya maisha ya mtu mwenye Pato la 7m sio sawa ma mwenye laki3
Unatunyanyasa kiakili na laki 3 yetu.Upate laki3 na uishi comfortable life 😂😂😂 impossible, tuache kujidangaya
Standard ya maisha ya mtu mwenye Pato la 7m sio sawa ma mwenye laki3
Tamisemi mzee wewe utazeekea hapo hapo Kamanda pambana na Wakwaya, Wajita, Wakurya, Wajaruo hao wa mwanzo wawilo watamu mnooNimeshaomba uhamisho wa kuhamia Manispaa ya Kinondoni ili nipate urahisi wa kwenda Kitambaa cheupe siku za weekend.
Najichanga changa niwe mwekezaji mdogo hapa North Mara kwenye gold mining industry.Tamisemi mzee wewe utazeekea hapo hapo Kamanda pambana na Wakwaya, Wajita, Wakurya, Wajaruo hao wa mwanzo wawilo watamu mnoo
Mi laki3 natumi mafuta ya gari siku nneUnatunyanyasa kiakili na laki 3 yetu.
Ndio maisha mzee tumezidiana hivyo,,Mi laki3 natumi mafuta ya gari siku nne