PBZ ndo naiskia leo ni bank auAzania na PBZ ndio unyama. Exim wana miezi 240 ila sijui riba yao.
6m+ kwa mwezi? Gape hilo mzeeKuna watu wanakula 6m+ Junior officers.. ni kuomba Mungu tu..
Kopa kwa malengo tu mkuuu upande mwingine inasaidia sana kufanikisha mambo yako kwa wakati na kuokoa mudaYaani hakuna kinachotuumiza watumishi kama mikopo ya benki.Mikopo ni adui yetu mkubwa aisee
Duh pole sana kaka.. mimi wa heslb tu unanipa mawazo.Yes ni mkopo
Mbn ndogo hiyo.. kuna watu wana neema aisee6m+ kwa mwezi? Gape hilo mzee
Mkopo sio adui, adui ni ile PAYE..Yaani hakuna kinachotuumiza watumishi kama mikopo ya benki.Mikopo ni adui yetu mkubwa aisee
Ndio maana hajasema wote amesema wengiKuna watu wanakula 6m+ Junior officers.. ni kuomba Mungu tu..
Yeah wako vizuri ribaPBZ ndo naiskia leo ni bank au
Saa 10 mbali mkali.Kumbe makato tayari bas leo haivuki saa kumi jioni
People’s Bank of Zanzibar.PBZ ndo naiskia leo ni bank au
Makato yamepita Toka ijumaa mzeeKumbe makato tayari bas leo haivuki saa kumi jioni