Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ni sehemu chache sana kwenye utumishi wa UMMA kuna Neema ila Tamisemi anatumika kama Punching Bag
08D075DB-78ED-4E3B-9389-26575261103B.jpeg
 
Sure. Mi nipo taasis ila pana njaa kingese
Kila kitu Tamisemi Tamisemi, mfano Dar wa Halmashauri ya Kiomboi analilia Extra Duty toka mwaka jana August hajalipwa wakat huohuo Dr wa Kitete Pale Tabora nae analia hajalipwa Extra Duty hizohioz tika January na mbaya zaidi sakary scale ni SAME

Hii nchi sehemu chache sana wana afadhli Nina Jamaa eng yupo Wizara moja hapo Mtumba Salary yake Basic ni anazidiwa kidogo tu na Nurse wa Tamisemi mwenye Bachelor pia sasa jamaa ni vile viactivuties ni vingi balaa ndio Pona yake otherwise ni chenga

Utumishi wa UMMA ni wachache sana wanaenjoy tuliobaki tunatafuta hela ya kula ujenge kanyumba kamoja na uwe na kaspacio Namba C basi
 
kama wewe kwa mwezi take home yako haifiki 1.7+ M .. usimcheke wa tamisemi.
 
Back
Top Bottom