Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

NMB nyaunyau ila uzuri sina shida nayo hio hela NAPITA KUWASALIMUTU NIKO VACATION NA katoto fulani cha kichina tuna vaping pamoja kwenye resort moja
 
Naomba niage mwezi kwa sauti ya pengo_makeke,
"Mbonyeza kitufe cha hazina aache UPUMBAVU wake kama ana ulemavu wa vidole atumie hata miguu,jana nimekwenda pub nikashambulia bia vibaya mno halafu mshahara wanatoa saa nane usiku,Ningekufa je..?Maana usipolipa siku hizi wanakumaliza.
 
Hivi hii bank ipo! Kuna jamaa alikopa milioni moja akakatwa miaka sana! Mpk marehemu lowasa kuwasaidia wasikatwe, ila baaada ya miezi miwili ngoma ikaendelea kukutwa tu 😂😂
Kuna mtu namjua alikopa milioni 2 akarudisha milioni 9😁😁😁
Hii nchi CCM et al,wamewafanya watumishi wa serikalini ni chuma ulete wao
 
Wadau Niko na mpango wa kuhama bank hii ya NMB, yaan haiwezekani wenzangu Washaanza kutumia pesa na kuinjoi maisha toka jana halafu me hadi leo napepesa macho.. halafu hii bank Kila mwezi wana-delay.. mnanishaurije wadau
Njoo CRDB. Chap tu, hawa NMB wanazungusha viccoba hela yenu
 
Back
Top Bottom