Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,957
- 183,564
Mkope nini sasa, wakati mzigo wenyewe tayari ni mkopo🤣🤣🤣Hatuchezi mbali, pokeeni huo mzigo tuwakope
Mkope nini sasa, wakati mzigo wenyewe tayari ni mkopo🤣🤣🤣Hatuchezi mbali, pokeeni huo mzigo tuwakope
Hayo mtajua ninyi🤣Mkope nini sasa, wakati mzigo wenyewe tayari ni mkopo🤣🤣🤣
Nipo mkuu sichezi mbaliPesa ya wote hii karibu
Inasikitisha 🤓Mkope nini sasa, wakati mzigo wenyewe tayari ni mkopo🤣🤣🤣
Naungana na wew hii mkuu😁✊🏾Ukiwa na kazi washauri wengi sana. We jipe mwaka mmoja wa kuupa pole mwili.
Unakatwa na Cwt au Tughe?Mkope nini sasa, wakati mzigo wenyewe tayari ni mkopo🤣🤣🤣
Ingekuwa Mimi ungeambulia manyoya..unabaki na kadi Mimi natoa kwa mobileNMB najua itatema muda wowote. Kuna mtu namdai na Nina ATM yake hapa
Siku izi hatutoi kwa kadi kuna app unatoa atm bila kadi.NMB najua itatema muda wowote. Kuna mtu namdai na Nina ATM yake hapa
Yaani acha kabisa🙆♂️Inasikitisha 🤓
Kivipi?Unakatwa na Cwt au Tughe?
Tayari nimeachia hela zenu msije kufanya njaa BureNdugu zanguni bado tu?
Fanya chapu Mzee,niko nyuma ya muda.Wazee wa kukingaa mnasumbua sana sasa najua njaa zimewakaba kweli kweli
Haya naenda kuclick ile batan ya kuachia miamala itoke bs kila mtu atazame simu yake na muwahi benki
Tayari tayariFanya chapu Mzee,niko nyuma ya muda.
Makato tayariSi j4 ama
Makato yamepita jana ndugu,kuna lofa amenipanga anaachia mzigo kumbe mjinga mjinga anazingua baada ya kuona nyuzi zake nikajiridhisha kweli ni lofa.Makato tayari
Sio poaBila bila