Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Samalekoo rafikiiiiiiii saii nipo huku Namanyere ndaniindanii kabisa hapa nipo juuu ya kichuguu ndo kuna network Naomba mwongozo pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz

Cc Smart911
Samaleko samaleko rafiki.

Kama kawaida raffikkkiii katika pita pita zangu humu nakutana na uzi wetu peeeeeendwa kabisa.

Hapa kwa ukaribu kabisa tusubiri eeeiiibiiiisiiiiii za wana Jf rafiki. Ili baada ya hapo tuendelee kuibariki mitttttaaaannnnoo mingine kwa mama. 😂😂
 
Sinaga utani na NMB
IMG_9144.jpeg
 
Back
Top Bottom